KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Tuesday 6 September 2011

Ziara Ya Makamu Wa Kwanza Wa Rais Maalim Seif Sharrif Hamad Mkoani Tabora

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff akiwahutubia Wananchi wa Tabora alipokuwa katika ziara mkoani humo
MAKAMU wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad akiwapungia mkono wananchi wa Tabora alipowasili mkoani humu kwa ziara.Picha na Ofisi Ya Makamu Wa Kwan

No comments:

Post a Comment