KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Monday 12 September 2011

CCM Wazindua Kampeni Igunga Kwa Kishindo,Rosta Aziz Ashiriki

Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Benjamin Mkapa akimtambulisha mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM, jimbo la Igunga, Dr Dalaly Kafumu jana katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni wa chama hicho.
Rais Mstaafu na ambaye pia ni mwenyekiti mastaafu wa CCM, Benjamini Mkapa, akihutubia katika mkutano wa Uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi mdogo jimbo la Igunga jana jioni
Katibu mkuu wa CCM, Willson Mukama, akihutubia wananchi wa Igunga jana katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo jimboni hapa.
Dr Kafumu akimwaga sera
Katibu mkuu wa CCM, Willson Mukama(Kulia)akiteta jambo na Aliyekua mbunge wa Igunga Rostam Aziz
Picha Zote na Mdau Victor Makinda-igunga

No comments:

Post a Comment