KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Tuesday 6 September 2011

Nokia Yazindua ‘Nokia Dabo Dabo’

Meneja wa kampuni ya Nokia wa nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika,Keneth Oyolla akizindua aina mbili za simu za mkononi aina ya Nokia zinazotumia laini mbili maarufu kama ‘Nokia Dabo Dabo’ jijini Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment