KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Thursday 8 September 2011

Rais Jakaya Kikwete Asaini Kitabu Cha Maombolezo Ubalozi wa Cuba Nchini Tanzania na Kupokea Hati Za Utambulisho Za Mabalozi Wa Nne Ikulu Jijini Dar es Salaam

 Rais Jakaya Kikwete akitia saiani kitabu Cha Maombolezo katika Makazi ya Balozi wa Cuba nchini Tanzania ,Oysterbay jijini Dar es Salaam kufwatia kifo cha Makamu wa Rais wa Cuba ,Jenerali Julio Casa Regueiro.Aliyesimama pembeni ya Rais Jakaya Kikwete ni  Balozi wa Cuba nchini Tanzania Ernesto Gomez Diez
Rais Jakaya Kikwete(kushoto)leo amepokea  hati za utambulisho kutoka kwa Balozi Mabalozi wa Nne wanaoziwakilisha nchini zao nchini Tanzania,waliowasilisha hati zao leo ikulu jijini Dar es Salaam ni  Balozi wa Luiz Javier Campuzano wa Mexico,Balozi Geoffrey Peter Tooth  wa Australia,Balozi Sinnika Antilia wa Finland na Balozi Hossam Eldin Moharam wa Misri.Pichani ni Balozi Sinnika Antila Wa Finlanda akiwasilisha Hati zaker Za Utambulisho kwa Rais Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam Leo.Picha na Freddy Maro-IKULU

No comments:

Post a Comment