KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Tuesday 6 September 2011

Mambo Matamu Kutoka Kwa Mama Ntilie Aisha

 Habari Kaka

Asante sana kwa kazi nzuri.

Mimi ni Asha 'Mama Ntilie' wa Mapishi Matamu blog. Natarajia kuweka blog directory za kitanzaia kwenye blog yangu na ningependa ni publish blog yako na wewe iupublish blog yangu www.mapishimatamu.blogspot.com.
Nasubira Majibu.

Asante sana

Mama Ntilie

No comments:

Post a Comment