KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Saturday 24 September 2011

Makamu wa Rais Dkt. Bilal ahudhuria sherehe za kuapishwa Rais Mpya wa Zambia


Rais Mpya wa nchi ya Zambia Bw. Michael Chilufya Sata akila kiapo katika sherehe zilizofanyika jana mjini Lusaka Zambia mara baada ya kushinda na kumuangusha rais wa sasa wa nchi hiyo Mh. Rupia Banda ambaye tayari ameshakubali kushindwa katika uchaguzi huo ulikokuwa na upinzani mkubwa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal akizungumza na Rais Mstaafu wa Zambia,Mh. Ruphia Banda kwenye ofisi za Mahakama Kuu ya Zambia wakati wa sherehe ya kuapishwa Rais Mpya wa Nchi hiyo Michael Sata zilizofanyika jana mjini Lusaka Zambia.
(Picha na Amour Nassor VPO).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohamed Gharib Bilal akizungumza na Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini,John Tendwa kwenye sherehe ya kuapishwa Rais mpya wa Zambia Michael Sata mjini Lusaka jana
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal (wa pili kulia), Mama Asha Bilal (kulia) na Rais mstaafu wa Zambia Ruphia Banda, wakimsikiliza Rais mpya wa Zambia Michael Sata alipokuwa akijitambulisha kwa viongozi wakuu wa Nchi mbalimbali waliohudhuria kwenye sherehe ya kuapishwa kwake iliyofanyika jana katika Mahakama Kuu ya Nchi hiyo mjini Lusaka Zambia
katikati ni Mama Asha Bilal.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kulia) na mkewe Mama Asha Bilal (wa pili kushoto), Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini John Tendwa (kushoto) na Rais wa kwanza wa Zambia,Dkt. Keneth Kaunda wakiwa katika picha ya pamoja walipokutana kwenye sherehe ya kuapishwa Rais mpya wa Zambia Michael Sata iliyofanyika jana katika Mahakama Kuu ya Nchi hiyo mjini Lusaka Zambia
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilala akisalimiana na Rais wa Malawi,Bingu wa Mutharika walipokutana kwenye Ofisi za Mahakama Kuu mjini Lusaka Zambia jana wakati wa sherehe ya kuapishwa Rais mpya wa Zambia Michael Sata

Meneja Wa Kampeni Za Chadema Igunga Mwita Waitara Ahojiwa Na Polisi Kwa tuhuma za Kutaka Kumteka Nyara Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Esther Bulaya

 Meneja wa Kampeni za Chadema katika uchaguzi mdogo wa Igunga, Tabora, Mwita Waitara akipanda gari kwenda kutoa maelezo katika kituo cha Polisi cha mjini Igunga kwa tuhuma za kutaka kumteka nyara Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Esther Bulaya usiku wa kuamkia Septemba 24.Na Mpigapicha Maalumu

Rais Kikwete Azindua Rasmi Mkutano wa DICOTA jijini Washington DC

Rais Jakaya Kikwete akizindua rasmi mpango mpya wa Bima kwa ajili ya Watanzania waishio ughaibuni uitwao Welfare Scheme for Tanzanians in Diaspora (WESTADI).ambapo mwanachama hulipa ada ya dola za Kimarekani 300 kwa mwaka ambazo endapo mwanachama atafariki dunia mwili wake utasafirishwa na NSSF toka huko aliko hadi nyumbani kwake na pia msindikizaji mmoja atalipiwa tiketi ya Ndege
Rais Jakaya Kikwete akihutubia mamia ya Watanzania waishio Marekani wakati wa kufungua rasmi mkutano wa DICOTA 2011 katika ukumbi wa hoteli ya Marriott Hotel and Resort kitongoji cha  Dulles, Virginia, jijini Washington DC.
Rais Jakaya Kikwete akihutubia mamia ya Watanzania waishio Marekani wakati wa kufungua rasmi mkutano wa DICOTA 2011 katika ukumbi wa hoteli ya Marriott Hotel and Resort kitongoji cha  Dulles, Virginia, jijini Washington DC.
Wabunge wa Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakimshangilia JK wakati nakifungua mkutano wa DICOTA katika ukumbi wa hoteli ya  Marriott Hotel and Resort kitongojini Dulles,Virginia, jijini Washington DC. Kutoka kushoto ni Mbunge wa Bukombe (CHADEMA), Profesa Kulikoyela Kahigi, Mbunge wa Viti Maalumu (CHADEMA) Mh Leticia Nyerere, Mbunge wa Liwale Mh. Faith Mitambo (CCM)  na Mbunge wa Serengeti Dr  Kebwe Stephen Kebwe (CCM)
Sehemu ya umati wa Watanzania wakimsikiliza Rais Jakaya Kikwete wakati akifungua rasmi Mkutano wa DICOTA 2011 katika ukumbi wa hoteli ya Marriott Hotel and Resort kitongojini Dulles,Virginia, jijini Washington DC
Rais Jakaya Kikwete  akiangalia bidhaa ya mafuta maalumu ya kurutubisha na kutunza nywele yaliyobuniwa na kutengenezwa na Mtanzania anayeishi Marekani Bi Lau Kyari  kabla ya  kufungua rasmi mkutano wa DICOTA 2011 katika ukumbi wa hoteli ya Marriot Hotel and Resort kitongoji cha  Dulles,,Virginia, jijini Washington DC. Mjasiriamali huyu, ambaye ni Mkemia bingwa, anatarajia kupeleka Tanzania bidhaa hiyo kabla ya kuanza kutafuta soko la kimataifa
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na mmoja wa washiriki katika mkutano huo huku Mbunge wa Viti Maalumu (CHADEMA) Mh Leticia Nyerere akisubiri kwa hamu zamu yake baada ya kufungua rasmi mkutano huo katika ukumbi wa hoteli ya Marriott Hotel and Resort huko Dulles, Virginia, jijini Washington DC
Rais Jakaya Kikwete akigombewa kupewa mikono na Watanzania waishio Marekani baada ya kufungua rasmi mkutano wa DICOTA 2011 katika ukumbi wa hoteli ya Marriott Hotel and Resort huko Dulles in Virginia, jijini Washington DC.Picha Zote na IKULU
-----
Hon. Bernard Membe, Minister for Foreign Affairs and International Cooperation
Ambassador Donald Yamamoto, Principal Deputy Assistant Secretary, Bureau of African Affairs
Your Excellencies, Ambassadors
Distinguished Sponsors of this Forum,
Forum Delegates and Business Leaders,
Ladies and Gentlemen

I thank you Ambassador Mwanaidi Maajar and the President of the Diaspora Council of Tanzanians in America (DICOTA) for inviting me to join you on this very auspicious day of celebrating the 50 years of the independence of the Mainland Tanzania and holding of the 3rd meeting of the Tanzanian Diaspora in America.  I commend you for organizing this event very well.  I bring with me very fraternal greetings from your brothers and sisters back home.  They wish you well in these celebrations as they prepare to do the same on December 9, 2011.
I am glad you heeded the call I made in my address to the nation to welcome the year 2011, urging Tanzanians wherever they are, to celebrate the 50th anniversary of the independence of Tanganyika in a very befitting manner. I commend you for organizing this day of celebration to reflect on the past 50 years and look ahead to the future of Tanzania.
 
Ladies and Gentlemen;
Tanzanians have every reason to celebrate the golden jubilee of their independence.  First, the fact that we have survived as a nation, and have remained united and peaceful amidst so much diversity, is no small achievement at all.  Tanzania is a nation created by the merger of two sovereign nations and sovereign peoples; a nation of people of 126 tribes, who belong to different races and religions; people of different backgrounds: rich and poor; educated and uneducated.  A country with such diversity to have survived for fifty years where several have failed, is something to be proud of and celebrate.  However, we have to be mindful of the fact that we must remain vigilant and continue to pursue the policies that made us a united and peaceful nation for all these years.
 
We have recorded phenomenon progress in education.  There are more boys and girls in schools, colleges and universities.   Today 97 percent of our children are in primary school compared to only 2 percent at independence.   Today we boast of 15,816 Primary schools compared to only 3,000 when we got independence.  We now have 4,237 Secondary schools enrolling 1,638,699 compared to only 41 Secondary schools with 11,832 students.  At independence, there were 13 graduates but today as I speak there are over 120,000 students studying in universities at home. At independence, there were two engineers, now there are 11,400.  Tanzania’s progress in education has been recognized globally, and that is why last year we received an MDG Award on Education in New York.
 
Ladies and Gentlemen; 
The coming years will see resolute steps taken to improve the quality of education with the hiring of more teachers, acquisition of more text books and reference books, teaching aids including science laboratories.  We are focused on building more teachers houses and improving their living environment particularly in the rural areas. We will improve the teaching curriculum in our entire education system and bring it up to speed with world developments.  In this regard, information technology, vocational training and entrepreneurship for self employment will be given special attention.  
 
In the health sector, a lot has been done so far to increase peoples’ access to health and build capacities to combat diseases.  There are more dispensaries, health centers and hospitals in the villages, districts and regions.  Our target now is to have a dispensary at a radius of five kilometers.  Our dispensaries and hospitals are better equipped and have more health professionals than they were 50 years ago.
 
We have put in place comprehensive programmes of interventions to combat major diseases such as HIV/AIDS, TB, malaria, kidneys, heart diseases, neurosurgical, oral health etc.  We are building our own capacities so as to reduce the number of patients we are sending abroad for diagnosis and treatment.  As a result of all these efforts we are witnessing progress, life expectancy is going up, maternal and child mortalities are coming down.  HIV infection rates are falling, and soon referral of patients abroad for heart, kidney and neurosurgical treatment will be reduced.  
 
Remarkable gains have also been registered in the infrastructure development. We have opened up the country and my dreams of connecting all our regions with tarmac roads will soon be realised.  
 
At independence the total road length was nearly 33,000 out of which only 1,360 km were tarmac. Today we have 86,672 km of roads out of which 6,500 km are tarmac.  Another 11,154 km of tarmac roads are at different stages of construction. We have witnessed progress in airports, railways and ports in various parts of the country, despite management challenges which we are constantly addressing.  In the electricity too, there has been some progress.  More people have access to electricity when compared to the situation at independence.  But much more needs to be done to meet increased demand.  This is what we are doing.  There are currently huge programs for water and electricity that are being implemented for that purpose.  
 
Political and Economic Development
Ladies and Gentlemen,
As we celebrate 50 years of our independence, we are also celebrating successes made in political and economic reforms.  With regard to political reforms our own country is now a vibrant multiparty democracy.  There are over 18 political parties which are free to function without encumbrances.  People of Tanzania are enjoying their basic freedoms of expression, association and worship.  There is an abundant media freedom.  There are very few countries in Africa with so many newspapers as Tanzania.
 
With regard to economic reforms we are now pursuing market economic policies instead of state controlled economic policies.  The private sector is now the driver of economic growth.
The state performs the traditional functions of law and order and regulation with regard to the economy besides putting in place sound economic policies.  Indeed, the economic reforms have worked well for us all.  There is macro economic stability. At seven per cent Tanzania is among the top 20 fastest growing economies in the world.  It is a major destination for FDIs in Africa.
 
Despite these achievements Tanzania is still a poor developing nation.  We cannot change overnight but we are setting our sites properly so that by 2025 we will graduate into middle income country.  We reviewed our Development Vision 2025 and identified the areas of intervention to enable us get there.  We have introduced Five Year Development Plans to guide us to that ultimate goal.  
 
                   Relations with the United States
 
Ladies and Gentlemen,
As we celebrate 50 years of Tanganyika’s independence, we are also marking fifty years of good diplomatic relations and cooperation with our host, the United States of America.  We are enjoying excellent relations.  We see eye to eye on a number of global issues particularly those related to Africa and global development.  Tanzania has benefited so much in our development endeavours from support extended by the people of this great country.   
 
Their support through PEPFAR, PMI, MCC has made a huge difference. We look forward to even more success through the Feed the Future and Partnership for Growth programme.  The Peace Corps programme has been a major vehicle for people to people relations.  We value this relationship and would do everything within our powers to see it grow to greater heights.
The US has now become our biggest tourist source market.  We welcome these developments and promise to help where help is needed to see this blossom.  
 
It goes without saying; our cooperation with the United States has been outstanding.  The presence of high level representatives from the US Government and Corporate in this forum is further testimony to this cooperation and support. We have every reason to be hopeful.  We thank all our partners for their support as we look forward to many more years of even more vibrant cooperation.
 
Tanzanian Diaspora at 50 Years of Independence
Ladies and Gentlemen;
 
It has been my habit since when I was Foreign Minister and now as President, to meet Tanzanians.  You remember, the May 2006 here in Washington and New York when I met Tanzanians, I urged you not to forget home.  Specifically I required you to do four things: 
(1)  Be good citizens, respect the laws of this land, (2) Don’t engage in criminal activities.  We will not defend you.  
 
(3) Don’t forget home: build houses and help your relatives, contribute to our nations development, bring investments, technology and skills.  Don’t just complain and do finger pointing at others because development of our country is the responsibility of every Tanzanian not only government.  Let each one of you play his or her part.  
 
(4)  Organise yourselves into associations to coordinate your efforts and help each other. 
I am glad Tanzanians here in the US are not in group of bad immigrants.  There are isolated cases but it is not representative of Tanzanians.  Keep it up.I am happy that some of you have awakened to my call to build at home and are doing that.I am aware of the problems of getting land for that purpose and getting honest people to supervise the construction.  I have directed the Ministry of Foreign Affairs and the Ministry of Lands to help with the land question.  With regard to the construction of houses, I will encourage the Pension Funds, NHC to assist because they are in that business; they can do it for you.  Also the banks can organize Loan Schemes for that purpose.
 
You are investing, but also bring investments, technology and skills. The TIC is well briefed to work with you and assist you in your endeavours.  I am so glad that you are now organized and you have created a formidable organization.  As Ambassador Sefue has very ably said, you are increasing from strength to more strength.   I wish you well and greater success in future.
Engaging the Tanzanian diaspora is a major policy of our government.  It is the directive of our party in last year’s election manifesto.  Why do we do it?  There are good reasons for doing that.
First, you are our own blood; therefore, we have an obligation to relate to you.  Secondly, you can contribute to the improvement of the lives of your kith and kin.  And, thirdly, perhaps more importantly you have the exposure and contracts that help in promoting growth of your homeland.  Besides that your remittances will help the growth of the economy.  Other countries are benefitting, why not us. 
 
It is for these reasons, that I directed the Ministry of Foreign Affairs to establish a special department on the Diaspora.  I am glad it is up and running and being headed by a very able and dynamic diplomat, Miss Bertha Somi.  I am confident with her.
Secondly, I directed them to spearhead the issue of dual nationality.  At the beginning it was resented but now it is beginning to be understood.  We will include it in the Constitutional reforms that we will soon undertake.  And, we will do the same for other issues including the right for Tanzanians abroad to vote.  
 
Conclusion
Today, as we celebrate our 50 years of independence, we do not boast of making no errors in between, we do not boast of making some failures, neither do we boast of being free from today’s new challenges and realities.We boast for having dared,having achieved and having strong determination to march forward.
 
 I thank you all for your kind attention!

Thursday 22 September 2011

Kamati ya mambo ya Nje kutoka Bunge la Finland yatembela Bunge la Tanzania


Makamu Mwenyekiti wa kamati ya Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama ya Bunge Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb) akieleza nafasi ya Bunge katika Maswala ya Mambo ya Nje kwa Mwenyekiti wa Kamati ya mambo ya Nje kutoka Bunge la Finland Mhe. Ine Marie Erikson (Mb) mara baada ya kamati hiyo kutoka Finland kutembela Bunge la Tanzania kwa ziara ya kubadilishana uzoefu leo.
Wajumbe wa kamati ya mambo ya nje kutoka Finland wakiwa katika picha ya pamoja na Makamu Mwenyekiti wa kamati ya Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama ya Bunge Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb) pamoja na baadhi ya wabunge wa Bunge letu.
Makamu Mwenyekiti wa kamati ya Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama ya Bunge Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa kikao na Kamati ya mambo ya Nje kutoka Bunge la Finland iliyofanya ziara katika Bunge la Tanzania kwa lengo la Kubadilishana uzoefu
Hapa wakiwa katika mkutano wao wa pamoja.
Makamu Mwenyekiti wa kamati ya Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama ya Bunge Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb) akimkabidhi zawadi kwa niaba ya Ujumbe wake Mwenyekiti wa Kamati ya mambo ya Nje kutoka Bunge la Finland Mhe. Ine Marie Erikson (Mb) mara baada ya kufanya ziara Bungeni kwa lengo la kubadilishana Uzoefu

President Jakaya Kikwete Rings The NASDAQ Stock Market Closing Bell


 President Dr Jakaya Mrisho Kikwete speaks during the ceremony
 President Dr Jakaya Mrisho Kikwete rings the NASDAQ Stock Market Closing Bell  at  NASDAQ MarketSite at 4 Times Square,   New York, Wednesday September 21, 2011
President Dr Jakaya Mrisho Kikwete with First Ladies, Health Ministers and Global Health Leaders cheer after the bell zanzibar
 President Dr Jakaya Mrisho Kikwete makes his remarks during the roundtable discussions
President Dr Jakaya Mrisho Kikwete with First Ladies, Health Minister for Tanzania Mainland Dr Hadji Mponda and his Zanzibar coounterpart, Mr Juma Duni Haji (third and second right respectively),  Ambassador Amina Ali, AU Permanent representativ to the UN (left) and Roll Back Malaria Goodwill Anbassador Yvonne Chakachaka pose after the bell.
The Roundtable in progress
President Kikwete greets Mr Andrew Whitman, Varian company's Vice President, before holding talks
President Dr Jakaya Mrisho Kikwete shakes hands with Dr Samia Al-Amoudi, Sheikh Mohamed Hussein Al-Amoudi, CEO and Founder of the  Centre of Excellence in Breast Cancer in Jeddah,  Saudi Arabia
African Union's Permanent Representative to the UN Ambassador Amina Ali at the roundtable
 Dr Ida Betty Odinga, wife of Kenya's Prime Minister, addresses the roundtable
Zanzibar and Tanzania Mainland Ministers for Health Mr Juma Duni Haji (right) and Dr Hadji Mponda, excvhange pleasantries with  Yvonne Chaka Chaka, Princess of Africa Foundation founder, renowned singer and Roll Back Malaria Goodwill Ambassador.
 President Dr Jakaya Kikwete in talks with Mr Andrew Whitman, Varian's Vice President, who has expressed keen interest to working with Tanzania in health matters.Photo State House

Rais Jakaya Kikwete Apokea Tuzo Mbili Maalum Kwa Mchango Wake Mkubwa Katika Afya ya Mama Mjamzito na Watoto,Akutana Na Viongozi Mbalimbali

Rais Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia kwenye mkutano wa 'Social Good Summit'
Rais Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akihudhuria mkutano wa 'Social Good Summit' anapokea tuzo kutoka United Nations Foundartion for his work in Martenal Health and Social Media Commitment kutoka kwa Makamu wa Rais wa Public Policy of United Nations Foundation Mr. Peter Yeo katika sherehe fupi iliyofanyika jijini New York .
Rais Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mheshimiwa Ban Ki- Moon kwenye Makao Makuu ya Umoja Mataifa jijini New York nchini Marekani.
 Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Waziri Mkuu wa Canada Mh Stephen Harper wakati viongozi hao walipokutana katika hoteli ya Intercontinental huko New York nchini Marekani. Viongozi hao wako nchini humo wakihudhuria mkutano wa 66 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ulioanza tarehe 19.9.2011.
Rais Dr. Jakaya Kikwete akifanya mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu wa Luxembourg, Mh. Jean Asselborn wakati wa kikao cha 66 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa huko New York nchini Marekani jana.
Rais Dr. Jakaya Kikwete akizungumza na Rais wa Slovenia Dr. Danilo Turk kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York jana. Viongozi hao wanahudhuria kikao cha 66 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kilichoanza tarehe 19.9.2011.
Rais Jakaya Kikwete akifurahia jambo na viongozi mashuhuri duniani akiwemo Askofu Desmond Tutu kutoka Afrika Kusini (kushoto) na aliyekuwa Rais wa Finland Mheshimiwa Marti Artisaari (katikati) wakati wa special event on the implementation of the Global strategy for women's and children's health iliyofanyika katika hoteli ya Grand Hyatt katika jiji la New York nchini Marekani. Picha na John Lukuwi-New York
--
Rais Jakaya Mrisho Kikwete jana (21 Septemba, 2011) amepokea Tuzo Mbili Maalum kwa mchango wake mkubwa katika Afya ya Mama Mjamzito na Watoto kwa ujumla kutoka taasisi mbili tofauti mjini New York.
 
Tuzo ya kwanza imetolewa na Taasisi ya Kijamii ya Umoja wa Mataifa (UN Foundation) na kukabidhiwa kwa Rais na Makamu wa Rais wake anayeshughulikia sera ya Umma Bw. Peter Yeo.
 
Rais amepokea Tuzo ya pili katika makao makuu ya Soko la Hisa la Marekani (National Association of Securities Dealers Automated Quotations) kwa kifupi NASDAQ ambalo ni soko la pili kwa ukubwa duniani baada ya lile la New York.  Rais amekabidhiwa tuzo hiyo na Makamu wa Rais wa NASDAQ Bw. David Wicks.
 
 Mara baada ya kukabidhiwa tuzo hiyo Rais amepewa heshima maalum ya kugonga kengele kuashiria mwisho wa biashara kwa siku hiyo.
 
Akipokea tuzo hizo mbili maalum, Rais ameelezea changamoto zinazoikabili sekta ya Afya nchini Tanzania na Afrika kwa ujumla na kuzishukuru nchi na taasisi mbalimbali ambazo zinaunga mkono juhudi za kupunguza matatizo ya afya ya mama mjamzito.
 
“Si sahihi kwa mama mjamzito kufariki wakati anampa uhai binadamu mwingine, uzazi unatakiwa kuwa shughuli ya furaha na sio huzuni na ndiyo maana tumetoa kipaumbele kwenye afya ya mama mjamzito kwenye ajenda yetu ya Afya” Rais amesema.
 
Rais amewaeleza wageni waalikwa ambao katika hadhara zote mbili wametoka katika nchi na taasisi mbalimbali kuwa kati ya vitu ambavyo serikali ya Awamu ya Nne imeamua kutoa kipaumbele katika kuongeza huduma za afya ya uzazi kwa kujenga zahanati na kuzipandisha daraja zilizokuwepo.Serikali pia inaajiri wakunga na wataalamu zaidi wa Afya na kuongeza mafunzo katika sekta hiyo.
 
Juhudi zingine ni pamoja na kutoa huduma za Mpango wa Uzazi bure na kutoa vifaa vya kujifungulia kwa akina mama wanaohudhuria kliniki.
 
“Vifaa hivi ni maalum kwa ajili ya kuwasaidia akina mama wakati wa kujifungua, na tuna amini kuwa kwa kufanya hivi wanawake wengi zaidi watahudhuria kliniki na kuwapa motisha wa kujifungulia katika taasisi zetu za afya”. Rais ameeleza.
 
Kutokana na juhudi hizo takwimu zinaonyesha kupungua kwa vifo vya akina mama wajawazito na  wakati wa kujifungua  kutoka 8,000 kwa mwaka 2005 hadi 6,000 mwaka jana.
 
“Upungufu wa vifo 2,000 ni hatua nzuri katika muda mfupi lakini bado hairidhishi sana, tunaweza kupunguza zaidi na hilo ndiyo lengo letu kwani hatutaki kuona mwanamke yeyote anakufa kutokana na ujauzito au wakati wa kujifungua”. Rais amesema.
 
Mbali na shughuli hizo, Rais amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Slovenia Dr. Danilo Turk, Makamu Waziri Mkuu wa Luxembourg Bw. Jean Asselborn na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Ban Ki Moon na Waziri wa Maendeleo wa Uingereza Bw. Andrew Mitchell.Leo tarehe 22 Septemba, 2011, Rais anatarajiwa kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.
 
MWISHO.

Imetolewa na Premi Kibanga,
Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi,
New York.
Marekani.
22 Septemba, 2011

Universal Periodic Review Sensitization Event for Editors and Journalists Hosted by the Attorney General’s Chamber of the United Republic of Tanzania


Office of the United Nations Resident Coordinator

----

Universal Periodic Review
Sensitization Event for Editors and Journalists
Hosted by the Attorney General’s Chamber of the United Republic of Tanzania

22 SEPTEMBER 2011
DOUBLE TREE HILTON, DAR ES SALAAM


United Nations Resident Coordinator Mr. Alberic Kacou

Talking Points

 Mr. Mathew Mwaimu, Director for Human Rights and Constitutional Affairs, Attorney General’s Chamber;
Mr. Absalom Kibanda, Chairperson of the Tanzania Editors’ Forum;
Mr. Neville Meena, of the Tanzania Editors’ Forum;
Government representatives;
Editors, journalists and other members of the Tanzanian media;
Dear UN colleagues;

 This event comes very timely.  In eleven days, the Tanzanian State representatives will initiate a dialogue with other governments on the human rights situation in this country. Together they will review achievements, progress and challenges.  Recommendations made will influence the national human rights agenda for years to come.  An informed media is critical for further increasing that impact.

The inter-governmental dialogue; the Universal Periodic Review; or UPR in short; prompts States to be accountable to each other for their domestic human rights records.  This is perhaps the most innovative mechanism for human rights, globally speaking.   The vision of reciprocal accountability for human rights was reflected in Universal Declaration of Human Rights in 1948.   Therefore, in 2006, when the Human Rights Council was established and the UPR introduced, the international community took a significant step in realising the vision of the drafters of the Universal Declaration. 

The UPR also deserves its universal label.  All UN Member States, all human rights standards and all human rights stakeholders are involved.  With stakeholders, we relate not only to the governments but also National Human Rights Institutions – such as the Commission for Human Rights and Good Governance – as well as nongovernmental organisations. They  are  all granted a right to appear. 
Indeed, as part of the civil society, media associations often become interlocutors in the UPR process.  They tend to submit country-based opinions on the level of respect for freedom of media or the situation of human rights defenders. 

Most of all, media people are interlocutors because of the substantive reporting on the event itself.  Besides the key matter of the human rights situation, full transparency and the intergovernmental character would make the process attractive from any editor or journalist’s point of view.  

Ladies and gentlemen,

This workshop is hosted by the Attorney General’s Chamber.  It represents the last component of the national Roadmap in terms of preparations.  Let me congratulate Mr. Mwaimu and his team for reaching that point.  Let me also congratulate him for a broad-based and transparent drafting process.  The national report has come to fruition through several roundtables, including a session in Zanzibar. The breadth of interests represented during these occasions, gives a sense of legacy to the national report.  We should bear that in mind when we read it. 

As an organization, United Nations does not enter into the dialogue.  We are represented through the High Commissioner’s Office as a secretariat to the Human Rights Council, hosting the process.  That Office has compiled UN information on the human rights situation in Tanzania.  Together with the national report and the summary of other stakeholders’ submissions, this information forms part of the official documentation of the review. 

That said, the UN Country Team in Tanzania has outlined activities to promote and assist in the protection of human rights under our UN Development Assistance Plan.  I have introduced this plan, known as the UNDAP, at other occasions. Nonetheless, I would take this opportunity to make some additional reflections:

First, the environment in Tanzania is conducive for a rigorous follow-up to the dialogue in Geneva.  The national report makes mention of the desire to establish a national human rights action plan.  Such a plan would allow a broad public dialogue on all human rights at the national level.  This is therefore a commitment that the UN Country Team is supporting and a process that enables domestication of recommendations made in Geneva.  

Second, the national report lists some endemic challenges regarding human rights in Tanzania.  I assume this indicates a willingness, on behalf of the Government, to enter into a dialogue on viable and effective solutions.  Realistic and results-oriented recommendations from the Human Rights Council, ideally inspired by lessons from the East African region, would therefore be of outmost help.   


Members of the media, Ladies and gentlemen,

In conclusion, I would like to raise the issue of rights awareness among the population at large. With this workshop, the Government rightly passes on at least part of this concern for your careful consideration. 
As editors and journalists, you have a unique possibility to improve understanding and knowledge of human rights.  You possess channels through which information is disseminated to those outside decision-making processes and conference rooms.  Alternately, through media, human rights holders can make their views heard and inform authorities about the situation on the ground.

Therefore, this workshop is promising.  Although focus is the familiarisation with a process, a successful outcome will be a wider and more informed exposure of human rights issues in print, broadcast or social media.  I think the organizers deserve a special note of recognition to that effect.

I look forward to learning about the conclusions and consider UN support in their favor.  Grateful to the Regional Office of the High Commissioner for Human Rights based in Addis Ababa, UNDP, UN Women and UNICEF for financing this event, I wish you a fruitful day.

Asanteni sana.

MAKAMU WA RAIS DK GHARIB BILAL AZINDUA KITABU CHA ‘QUANTUM MACHENICS’ CHA PROF, JOHN KONDORO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa uzinduzi wa Kitabu cha ‘Quantum Mechanics’ kilichotungwa na Professa. John Kondoro, wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika leo Septemba 22, katika Ukumbi wa Chuo cha DIT, jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (katikati) Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa (wapili kushoto) Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Charles Kitwanga (wapili kulia) Prof. John Kondoro mtunzi wa kitabu cha ‘Quantum Machenics’ na Makamu Mkuu wa Chuo cha DIT, Prof. Christian Nyahumwa (kushoto) wote kwa pamoja wakifurahia baada ya Makamu kuzindua kitabu hicho, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Chuo cha DIT, jijini Dar es Salaam leo, Septemba 22.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizindua rasmi Kitabu cha ‘Quantum Mechanics’ kilichotungwa na Professa. John Kondoro, wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika leo Septemba 22, katika Ukumbi wa Chuo cha DIT, jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyesha kitabu cha ‘Quantum Machenics’ baada ya kuzindua kitabu hicho kilichotungwa na Prof. John Kondoro, wakati wa uzinduzi huo uliofanyika leo Septemba 22, katika Ukumbu wa Chuo cha DIT, jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi kitabu cha ‘Quantum Machenincs’ Makamu wa Chuo cha DIT, Prof. Christian Nyahumwa, ambao ni miongoni mwa watu wa kwanza kununua kitabu hicho kilichotungwa na Prof. John Kondoro, wakati wa uzinduzi wa kitabu hicho uliofanyika leo Septemba 22, katika Ukumbi wa Chuo cha DIT, jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya maprofesa wa DIT baada ya uzinduzi wa kitabu cha ‘Quantum Mechanics’ kilichotungwa na Prof. John Kondoro. Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi Ya Makamu Wa Rais