KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Thursday 8 September 2011

MAKAMU WA RAIS DK GHARIB BILAL AFUNGUA MKUTANO WA 20 WA MAGAVANA WA AFRIKA JIJINI ARUSHA LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba katika ufunguzi wa mkutano wa 20 wa Bodi ya Magavana wa Afrika (ACBF), uliofanyika kwenye Hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha leo Septemba 08, 2011.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (katikati), Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo (kulia) na Mwenyekiti wa Bodi ya Magavana wa Afrika  (ACBF) anayemaliza muda wake  Balozi Sten Rylander, wakiwa katika ukumbi wa Hoteli ya Mount Meru jijini Arusha leo Septemba 08, wakati Makamu wa Rais, alipofika kufungua mkutano wa 20 wa Magavana wa Afrika (ACBF). Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi ya Makamu Wa Rais

No comments:

Post a Comment