KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Wednesday 14 September 2011

Mabadiliko ya Harambee Ubalozini Nchini Uingereza

Kutokana na sababu zisizoweza kuzuilika Jumuiya ya Watanzania nchini Uingereza TANZ- UK  inawaomba radhi wanajumuiya na watanzania wote kuwa shughuli za fund-Raìsing zilizokuwa  zifanyike katika ubalozi wetu london siku ya jumamosi tarehe 17 septemba 2011 saa nane mchana zimeahirishwa. 

Taarifa zaidi zitawafikia hapo baadaye, tutawajulisha punde tu tutakapo pata habari kamili. Tafadhali mjulishe na mwenzako

ASANTENI
 MWENYEKITI, 
TANZ-UK

No comments:

Post a Comment