KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Tuesday 6 September 2011

Mgombea Wa Kii Cha Ubunge Igunga -CCM Arudisha Fomu

MGOMBEA Ubunge kwa tiketi ya CCM, jimbo la Igunga, Dk. Dalaly Kafumu (kulia) akimkabidhi fumu yake Msimamizi wa Uchaguzi jimbo hilo, Magayane Protace leo katika Ofisi za Halmashauri ya wilaya ya Igunga mkoani Tabora.
BAADHI ya walimu waliokuwa wakipata utaratibu kwa ajili ya kwenda kwenye vituo vyao kusimamia mitihani ya darasa la saba wakimsalimia mgombea wa Ubunge kwa tiketi ya CCM, Dk. Dalaly Kafumu, alipokutana nao wakati akitoka kurejesha fomu yake kwa Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Igunga mkoani Tabora, leo.

No comments:

Post a Comment