KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Thursday 8 September 2011

Klabu ya Wafanyabiashara wa Benki ya NMB Yazinduliwa Shinyanga

Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Amina Masenza (kushoto) kizungumza jambo baada ya kuzindua rasmi klabu ya wafanyabiashara wa Benki ya NMB mkoani Shinyanga jana, pamoja nae ni Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano na Jamii wa Benki ya NMB, Shy-Rose Banji. Klabu hiyo inalengo la kuboresha mahusiano na mawasiliano kati ya Benki na wateja wake.

Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Amina Masenza (kushoto) akizungumza jambo baada ya kuzindua rasmi klabu ya wafanyabiashara wa Benki ya NMB mkoani Shinyanga jana, pamoja nae ni Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano na Jamii wa Benki ya NMB, Shy-Rose Banji.  Klabu hiyo inalengo la kuboresha mahusiano na mawasiliano kati ya Benki na wateja wake.
Meneja wa NMB tawi la Manonga, James Subi, (wapili kulia) akimshukuru Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Amina Masenza baada ya kuzindua rasmi klabu ya wafanyabiashara wa Benki ya NMB mkoani Shinyanga jana.  Klabu hiyo inalengo la kuboresha mahusiano na mawasiliano kati ya Benki na wateja wake. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano na Jamii wa Benki ya NMB, Shy-Rose Banji (kushoto) ni Meneja wa NMB Mikopo Midogo, Mashaga Changarawe.
Meneja wa NMB Mikopo Midogo, Mashaga Changarawe akitoa mada yake juu ya utoaji wa Mikopo.Picha na Mpigapicha wetu

No comments:

Post a Comment