KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Sunday 11 September 2011

Benjamin Mkapa Alonga na Wazee igunga

Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akizungumza wakati wa mkutano wa viongozi wa ngazi mbalimbali  katika kata za jimbi la Igunga, jana. Kushoto ni Katibu wa NEC, Oganaizesheni Asha Abdallah Juma na katikati ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tabora.
Viongozi mbalimbali wakimsikiliza

No comments:

Post a Comment