KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Friday 9 September 2011

MAKAPA ATUA IGUNGA


Mwenyekiti mstaafu wa CCM Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa akisalimia wananchi baada ya kuwasili kijiji cha Makomero nje kidogo ya mji wa Igunga mkoani Tabora tayari kuzindua kampeni za CCM za uchaguzni mdogo jimbo la Igunga
Msafara wa magari yaliyombeba Mwenyekiti mstaafu wa CCM Benjamin Mkapa ukiwasilia mjini Igunga.
Mashabiki wa CCM wakiwa kwenye msafara wa mapokezi ya Mkapa
Watu wakisubiri msafara wa Mkapa eneo la kijiji cha Makomero nje ya mji wa Igunga
Mwenyekiti wa CCM mstaafu, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akimsalimia Mgombea ubunge jimbo la Igunga, Dk. Dalaly Peter Kafumu katika mapokezi yake Igunga jana. Katikati ni Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha, Mwigulu Nchemba ambaye ni maratibu wa kampeni jimbo hilo.

No comments:

Post a Comment