KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Monday 12 September 2011

Taswira Za Mkutano wa Bodi Ya Magavana Wa Afrika Huko Arusha


 Waziri wa Fedha wa Tanzania Mheshimiwa Mustafa Mkulo(Katikati)akiiwakilisha Tanzania Katika Mkutano wa Bodi ya Magavana wa Afrika Mjini Arusha September 9,2011
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mheshimiwa Bernard Membe akiongea na waandishi wa habari September 9-2011 mjini arusha juu ya Hatua mbalimbali zinazotakiwa Kuchukuliwa na ili kuinusuru nchi ya Libya kutoingia katika vita Vya Wenyewe Kwa Wenyewe.Picha Tiganya Vincet-MAELEZO

No comments:

Post a Comment