Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mwenyekiti wa chama cha KANU Mhe Gideon Moi aliyemtembelea  Novemba 29, 2012 katika hoteli ya Nairobi Serena jijini Nairobi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Mwenyekiti wa chama cha KANU Mhe Gideon Moi aliyemtembelea na kufanya naye mazungumzo Novemba 29, 2012 katika hoteli ya Nairobi Serena jijini Nairobi. (PICHA NA IKULU)