KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Wednesday 31 August 2011

CCM Yamteua Rasmi Dr Dalay Peter Kafumu Kuwa Mgombea Ubunge Jimbo La Igunga

Dr. Dalaly Peter Kafumu.
 Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM,Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari jana, katika Offisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM mjini Dar es Salaam, kutangaza mgombea wa jimbo la Igunga kwa tiketi ya CCM. Kushoto ni mlezi wa mkoa wa Tabora, Katibu wa NEC,Uchumi na Fedha Mwigulu Nchemba.Picha na Mpiga Picha Wet

No comments:

Post a Comment