KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Sunday 14 August 2011

Bajeti Ya Wizara Ya Nishati Na Madini Yapita



Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja akiingia Bungeni leo kuwakilisha mpango wa dharura wa upatikanaji nishati ya umeme nchini wakati akiwakilisha tena Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Nishati na Madini kwa mwaka wa Fedha 2011-2012
Mbunge wa Same mashariki Anne Kilango Malecela akichangia Bungeni leo'
Msemaji wa kambi ya Upinzani Bungeni Freeman Mbowe (miwani) akibadilishana mawazo na mbunge wa Ubungo (CHADEMA) John Mnyika wakati wa majadiliano ya kupitisha hoja ya Makadirio na Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati na Madini kwa mwaka wa fedha 2011-2012 Dododma leo,Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO

No comments:

Post a Comment