KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Thursday 11 August 2011

Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa,Dk. Asha Rose Migiro Atua Dodoma Nakuonana na Waziri Mkuu Mizengo Pinda

Waziri Mkuu,MIzengo Pinda akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dk. Asha Rose Migiro kwenye makazi yake Mjini Dodoma Augost 11, 2011
Waziri Mkuu, MIzengo PInda na mkewe Tunu wakiwa na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Taifa, Dk. Asha Rose Migiro kwenye makazi ya Waziri Mkuu Mjini Dodoma Augost 11, 2011 baada ya mazungumzo yao.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment