KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Thursday 18 August 2011

WAZIRI MKUU NA MATUKIO BUNGENI DODOMA LEO


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali ya wabunge, Bungeni Mjini Dodoma Augost 18, 2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job NdugaI (kulia) na Mbunge wa jimbo la Chonga,(kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya sokondari Msalato katika viwanja vya Bunge mjini Dodomaleo.
PICHA NA MAGRETH KINABO MAELEZO.
Mbunge wa Jimbo la Ilala ,Mussa Zungu Azzan (kulia) aliyevaa kofia ya rangi nyekundu akifurahia ushindi wa timu ya Simba baada kuichapa timu ya Yanga bao 2-0 katika mechi ya ngao ya hisani na wabunge wenzake katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda(kushoto) akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Jenista Mhagama (kulia) katika viwanja vya Bunge leo mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi na Mbunge wa Kiteto, Benedict Ole- Nangoro (katikati) na Mbunge wa Mpanda Mjini, Said Arfi kwenye viwanja vya Bunge Mjini Augost 18, 2011.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment