KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Friday 19 August 2011

Ujumbe Kutoka China Watua Bungeni


 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda wa wanne pande zote mbili akiwa Naibu wake Job Ndugaiwa pili (kulia) wakiwa na baadhi ya ujumbe kutoka China.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda akizungumza na ujumbewa watu 12 kutoka nchini China, ukiongozwa na  Makamu wa Mwenyekiti wa  The Chinese Peoples Politicla Consultative Conference (CPPCC).

No comments:

Post a Comment