KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Friday 19 August 2011

Makamu Mwenyekiti wa CPAPD Amtembelea Waziri Mkuu Mizengo Pinda Mjini Dodoma

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Makamu Mwenyekiti wa - National Committee of the Chinese People's Political Consultative Conference baada ya mazungumzo yao, Ofisini kwa Waziri Mkuu Mjini Dodoma, Augost 19, 2011
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya kinyago Makamu Mwenyekiti wa - National Committee of the Chinese People's Political Consultative Conference baada ya mazungumzo yao, Ofisini kwa Waziri Mkuu Mjini Dodoma, Augost 19, 2011.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment