KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Monday 8 August 2011

Kila la Kheri Miss Universe Tanzania 2011 Nelly Kamwelu

Unayemuona pichani ni Nelly Kamwelu,Miss Universe Tanzania 2011.Nelly ndiye atakayebeba bendera yetu akituwakilisha katika mashindano ya dunia ya Miss Universe ambayo kwa mwaka huu yatafanyikia huko Sao Paulo,Brazil ndani ya Credicard Hall kunako tarehe 12 September,2011.Tunamtakia kila la kheri Nelly katika maandalizi yake.Picha zimepigwa na Mdau Moiz Hussein

No comments:

Post a Comment