KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Saturday 27 August 2011

Rostam Aziz; " Kweli Ni Malumbano, Kweli Ni Maneno!"

.... Najiweka pembeni, naepuka msongamano
      Mola nijalie, nipate changu na mie
      Mola nijalie, mabaya yasinifikie!" ( Msanii 20 percent)

Kuna kisa hiki; Julius Nyerere aliwahi kumwomba Andy Chande  agombee ubunge Tabora Mjini kwa tiketi ya TANU. Ni kwenye uchaguzi wa mwaka 1960. Andy alimwambia Julius; " I would better serve my country as a businessman than a politician". Julius Nyerere hakufurahia majibu ya Andy Chande.  Miaka mingi baadae, Julius alimwelewa Andy. Naam, historia ni mwalimu mzuri.

No comments:

Post a Comment