KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Sunday 14 August 2011

Warembo Vodacom Miss Tanzania 2011 wakiwa Safarini Moshi


Sunday, August 14, 2011


Baadhi ya washiriki shindano la kumsaka Vodacom Miss Tanzania 2011, wa kipiga picha na kusalimiana na vijana wa Chalinze Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani jana wakati wakiwa safarini kuelekea mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea Mbuga za wanyama ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utali wa ndani nchini.Warembo hao 30 walisimama kwa muda Chalinze kusalimiana na wananchi. (Picha na Mpigapicha wetu).
Warembo wa Vodacom Miss Tanzania 2011, wakipiga picha katika daraja la mto Wami, Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani jana wakati wakiwa safarini kuelekea mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea Mbuga za wanyama ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utali wa ndani nchini. (Picha na Mpigapicha wetu).
Baadhi ya warembo wanaowania taji la Vodacom Miss Tanzania 2011, wakipiga picha huku wakiwa wenye furaha baada ya kuvuka mto Wami , Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani jana wakati wakiwa safarini kuelekea mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea Mbuga za wanyama ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utali wa ndani nchini. (Picha na Mpigapicha wetu).
Vodacom Miss Kanda ya Mashariki, Loveness Flavian akizungumza na waandishi wa habari katika mji wa Chalizne Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani jana wakati wakiwa safarini kuelekea mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea Mbuga za wanyama ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utali wa ndani nchini. Warembo hao 30 walisimama kwa muda Chalinze kusalimiana na wananchi. (Picha na Mpigapicha wetu).

No comments:

Post a Comment