KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Tuesday 16 August 2011

" Nachangia Hizi Kwa Ujenzi Wa Mabweni Ya Shule!"

Nyota wa mchezo wa kikapu nchini Marekani ambaye pia ni mkurugenzi wa taasisi ya D12 Foundation ya nchini humo ,Dwight Howard akimkabidhi hundi ya thamani ya sh,90 milioni mkuu wa shule ya sekondari ya Kipok iliyopo wilayani Monduli,Felister Lukumay kwa lengo la kusaidia ujenzi wa mabweni shuleni hapo jana,katikati anayeshuhudia katikati ni mbunge wa jimbo hilo,Edward Lowasa. Picha na habari na mdau wa Monduli.

No comments:

Post a Comment