KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Wednesday 31 August 2011

Serikali Yamwita Balozi Wa Libya Nchini Baada ya Balozi Huyo Kubadilisha Bendera ya Nchi hiyo Bila Kufuata Taratibu

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Bernard Membe, akizungumza na Balozi wa Libya nchini, Prof. Ahmed El Ash'hab baada ya Balozi huyo kuitwa Wizarani,Dar es Salaam jana.kufuatia Ubalozi huo kubadilisha Bendera ya nchi hiyo bila kufuata taratibu.Picha na Tagie Mwakawago-Wizara ya Nchini Za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa

No comments:

Post a Comment