KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Monday 8 August 2011

Ujumbe Wa Vyama Vya Siasa Vya Malawi Wamtembelea Nape

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye (wapili kulia) akizungumza, wakati ujumbe wake ulipokutana na ujumbe wa kutoka Kituo cha Demokrasia ya vyama vingi vya siasa nchini Malawi (kushoto) katika ukumbi wa Sekretarieti, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba mjini Dar es Salaam  leo. Ujumbe huo umeongozwa na Mwenyekiti wa kituo hicho, Levison  Ganisa (wanne walioketi). Wenyeji wa ujumbe huo ni Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD).Kushoto ni Katibu Msaidizi Mkuu, Itikadi na Uenezi, Sixtus Mapunda

Nape akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe huo mbele ya jengo la Mahali ilimozaliwa TANU

No comments:

Post a Comment