KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Tuesday 23 August 2011

Rais Jakaya Kikwete Akiteta na Walemavu..



Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia Bwana Khamis Abdallah na mwenzake Mohamed Othman Omari ambao ni walemavu wa viungo muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Pemba kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na walemavu Mohamed Othman Omari na Khamis Said Abdallah muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Pemba jana jioni.Picha na Freddy Maro-IKULU

No comments:

Post a Comment