KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Thursday 11 August 2011

Mwili Wa Mwili Wa Marehemu Luteni Jenerali Mstaafu Silas Mayunga, Ulivyoaagwa Nyumbani Kwake Ilala Jijini Dar es SALAAM

Mwenyekiti wa UDP, ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Bariadi mashariki John Cheyoakitoa neno jana jioni nyumbani kwa marehemu Luteni Jenereli,  Silas Mayunga, Ilala, jijini Dar es Salaam
Askari wa jeshi la Wananchi,( JWTZ) Wwakishusha mwili wa marehemu Luteni Jenereli Silas Mayunga kutoka kwenye gari maalumu ya kijeshi, nyumbani kwake Ilala jijini Dar es Salaam jana jioni.
Askari wa jeshi la Wananchi,( JWTZ) wakiwa wameubeba  mwili wa marehemu Lutrni Jenereli Silas Mayunga nyumbani kwake Ilala, Dar es Salaam jana jioni wakati mwili huo ulipopelekwa kwa ajili kutolewa heshima za mwisho
 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga, Hamis Mgeja, (wa mbele), mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, John Guninita ,akifuatiwa na Blegedia Mastaafu Francis Mndolwa wakitoa heshima zao za  mwisho kwa mwili wa marehemu, Luteni Jenereli, Silas Mayunga nyumbani kwake Ilala jijini Dar es Salaam Jana jioni.
Mwenyekiti wa UDP, ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Bariadi Mashariki, John Cheyo,( wa pili kulia) Jaji mkuu mstaafu, Mark Bomani, (wa pili kushoto) na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga, Hamis  Mgeja ( wa kwanza kushoto) wakiwa kwenye msiba nyumbani kwa marehemu Luteni Jenereli Silas Mayunga jioni ya jana wakati wa mwili huo ulipowasili kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho.
Mwenyekiti wa UDP, ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Bariadi mashariki mkoani Shinyanga, John Cheyo,  akitoa mkono wa pole kwa mjane wa marehemu Luteni Jenereli Silas Mayunga, Juliana Mayunga,nyumbani kwa mrehemu, Ilala, jijini Dar es Salaam jana jioni
Ndugu na jamaa wakiwa wamejipanga mstari kwa tayari kutoa heshima za misho kwa mwili wa marehemu Luteni Jenereli Silas Mayunga, Ilala, jijini Dar es Salaam,jana jioni. Picha zote na Victor Makinda

No comments:

Post a Comment