KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Monday 8 August 2011

Chadema na Operesheni Twanga Kotekote Mkoani Mbeya

Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Mbeya mjini,John Mwambigija akiwa na nakala ya hotuba ya Waziri wa mambo ya ndani kivuli,Godbless lema,akisoma sehemu ya Hotuba hiyo mbadala ya kambi ya upinzani wakati wakilaani kauli ya Zombe,huku Katibu Mwenezi wa wilaya,Manyerere akimsaidia kushika
Baadhi ya madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya,wakiwasalimia wananchi wa Kata ya Ruanda juzi, katika mkutano wa 'Operesheni twanga kote kote', unaoendelea kufanywa na chama hicho, mkoani Mbeya, Picha Zote na Mdau Thompson Mpanji

No comments:

Post a Comment