KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Thursday 11 August 2011

Rais Jakaya Kikwete Akiagana na Rais Wa Somalia

Rais Jakaya Kikwete akiagana na mgeni wake Mheshimiwa Sheikh Sharif  Sheikh Ahmed,Rais wa Jamhuri ya Somalia kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere,baada ya kiongozi huyo kumaliza ziara  ya siku mbili hapa nchini tarehe 10.8.2011.

No comments:

Post a Comment