KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Monday 25 July 2011

Rais Wa Zanzibar Dk Ali Shein Aongoza Kamati Maalum Ya Halmashauri Kuu Ya CCM Zanzibar

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais mstaafu wa Zanzibar, Dk Amaan Abeid Karume,(katikati) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,na mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,Dk Ali Mohamed Shein,Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,(kulia),kwa pamoja waiimba wimbo wa chama kabla ya kuanza kwa kikao cha siku moja cha Kamati maalum ya halmashauri kuu ya CCM ya Zanzibar,katika ukumbi wa CCM Kisiwandui leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,na mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,wakati alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu wa CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,kushiriki katika kikao cha siku moja cha Kamati maalum ya halmashauri kuu ya CCM ya Zanzibar,katika ukumbi wa CCM Kisiwandui leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,na mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na wajumbe kikao cha siku moja cha Kamati maalum ya halmashauri kuu ya CCM ya Zanzibar,katika viwanja vya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar jana leo
Baadhi ya wajumbe wa kikao cha siku moja cha Kamati maalum ya halmashauri kuu ya CCM ya Zanzibar,wakisikiliza mada zinazotolewa katika ukumbi wa mkutano wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,chini ya Mwenyekiti wake Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais mstaafu wa Zanzibar, Dk Amaan Abeid Karume leo. Picha na Ramadhan Othman Ikulu-Zanzibar

No comments:

Post a Comment