KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Monday 25 July 2011

Mama Salma Kikwete Aifariji Familia Ya Profesa Samuel Mushi

Mama Salma Kikwete(Wa Pili Kushoto)akiwa na Mjane wa Prof Samuel Mushi(Wa Tatu Kushoto)Pamoja na Mtoto wa Marehemu Prof Samwel Mushi Bi Sussan Mzee,alipotembelea Familia hiyokutoa salamu zake Za Rambirambi Leo Jijini Dar es Salaam
Ndugu na Jamaa wakiwa Pamoja na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete alipotembelea Familia ya Prof Samwel Mushi kutpa Salaam za rambirambi leo jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment