KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Saturday 9 July 2011

Mama Tunu Pinda Aunguruma Kwenye Uzinduzi Meli ya Utafiti wa Mafuta na Gesi Katika Pwani ya Mtwara na Mafia Huko Korea Kusini


 Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akihutubia baada ya  kuzindua meli ya Ocean Rig Poseidon kwenye bandari ya Geoje nchini Korea ya Kusini Julai 8, 2011.
 Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akizindua meli ya Ocean Rig Poseidon kwenye bandari ya Geoje nchini Korea ya Kusini Julai 8, 2011.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakiwa katika mzungumzo na viongozi  waandamizi walioshiriki katika uzinduzi wa meli ya kukufanyia utafiti wa mafuta na gesi katika  pwani ya Mtwara na Mafia kabla ya uzinduzi uliofanywa na Mama Tunu Pinda katika mji maarufu wa uundaji meli wa  Geoje nchini Korea Kusini Julai 8,2011
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akiongozwa kukagua meli ya Ocean Rig Poseidon baada ya kuizindua kwenye bandari ya Mji maarufu kwa ujenzi wa Meli kubwa wa Geoje nchini Korea ya Kusini Julai 8, 2011. Meli hiyo inayomilikiwa na kampuni ya Petrobas ya Brazil inatarajiwa kufanya utafiti wa mafuta na gesi kwenye pwani ya mtwara na Mafia miezi michache ijayo.
 Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda  akikagua meli ya Ocean Rig Poseidon baada ya meli hiyo kuzinduliwa na Mama Tunu Pinda kwenye Bandari maarufu  kwa ujenzi wa meli kubwa ya Mji wa Geoje nchini Korea Kusini  Julai 8, 2011.

No comments:

Post a Comment