KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Thursday 7 July 2011

Dr. Mary Nagu Atembelea Wizara Ya Fedha, Maonesho Ya Kimataifa Ya Biashara (Sabasaba). Nakufanya Mazungumzo Na Msemaji Wa Wizara

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dr Mary Nagu akifurahia zawadi yake aliyoipata jana mchana alipotembelea Jengo la Wizara ya Fedha na Uchumi, kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Bashara,Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,Uwekezaji na Uwezeshaji - Mary Nagu akiwa ndani ya Jengo la Wizara ya Fedha kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba, wakati Wazri huyo alipotembelea mapema jana
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu,Uwekezaji na Uwezeshaji, Dr Mary Nagu akiwa katika mazungumzo na Msemaji Mkuu Wizara ya Fedha Bi.Ingiahedi Mduma wakati waziri huyo alipotembelea jengo la Wizara ya Fedha na Uchumi katika Maonyesho ya Kamataifa ya Biashara, Nanenane yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere,Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Msemaji Mkuu wa Wazara ya Fedha, Ingahedi Mduma akimkabidhi zawadi,Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dr Mary Nagu.Picha zote na  Kitengo cha Habari, Wizara ya Fedha

No comments:

Post a Comment