KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Thursday 7 July 2011

Matuta Ndio Yameipeleka Yanga Nusu Fainali

 Mshambuliaji wa Yanga,Julius Mrope(kushoto)akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Red Sea ya Eritrea, Daniel Goitom kwenye robo fainali ya michuano ya Kombe la Kagame iliyofanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga ilishinda kwa mikwaju ya penalti 6-5.

No comments:

Post a Comment