KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Thursday 7 July 2011

NAPE NAPE ATEMBELEA VITUO VYA ITV-RADIO ONE NA HABARI CORPORATIONS LTD JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Nape akikaribishwa na Mkurgenzi wa East African TV/Radio, Regina Mengi(Kulia)
Katibu wa Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akisalimiaka na Mkurugenzi wa Radio One, Deogratius Rweyunga baada ya kutambulishwa kwake na Mkurugenzi wa ITV/Radio One Joyce Mhaville  leo
Nape akimsalimia Zembwela baada ya kuingia katika Studio ya East African Radio. Zembwela ambaye pia ni msanii maarufu wa fani ya ucheshi na maigizo sasa ni mtangazaji maarufu wa kituo hicho.
Rweyunga akimweleza Nape vitu vinavyorushwa ndani ya studio za radio one
Nape akishuhudia 'mapishi' ya vipindi vya EATV/Radio
Mtangazaji wa michezo wa Eatv/Radio Patrick Nyembera(wapili kushoto) akitaka kupata mawili matatu kuhusu sports kutoka kwa Nape alipoingia studio za vituo hivyo
Mhariri wa habari wa ITV, Steven Chuwa(Kushoto) akiwa na Nape Nnauye
Regina Mengi akimuonyesha Nape utendaji katika mitambo ya EATV/Radio
Katibu wa NEC, Itikadi na uenezi,Nape Nnauye akizungumza na viongoi wa New Habari Corporations Ltd, 6/72011,Kushoto ni Mkurugezi Mtendaji wa kampuni hiyo,Hussein Bashe
Mhariri wa Mttanzania, Manyerere Jackton (kushoto) akizungumza jambo na Nape mwishoni mwa ziara hiyo. kulia ni Mhariri Mtendaji wa kampuni hiyo Deodatus Balile.Picha Zote na Mdau Bashir Nkromo

No comments:

Post a Comment