KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Saturday 30 July 2011

Denmark na Korea Zaipa Serikali Ya Tanzania Jumla Ya Billioni 592

Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo (kushoto )akibadilishana hati ya msaada wa shilingi bilioni 318 na Balozi wa Korea Kusini Young hoon Kim(kulia) jana jijini Dar es salaam kwa ajili ya ujenzi wa njia ya usambazaji umeme kutoka Iringa,Shinyanga ,ujenzi wa Majengo ya Chuo Kikuu cha Tiba cha Muhimbili na maandalizi ya vitambulisho vya kitaifa.
Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo(kushoto)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari jana jijini Dar es alaam mara baada ya kusaini msaada wa bilioni 318 kutoka Serikali ya Jamhuri ya Korea Kusini wa ujenzi wa njia ya usambazaji umeme kutoka Iringa,Shinyanga,ujenzi wa Majengo ya Chuo Kikuu cha Tiba cha Muhimbili na maandalizi ya vitambulisho vya kitaifa. Kulia ni Balozi wa Korea kusini nchini Balozi wa Korea Kusini Young hoon Kim.Picha na Tiganya Vincent, MAELEZO- Dar es salaam

No comments:

Post a Comment