YANGA ILIVYOBANJULIWA UWANJA WA KAITABA JANA MJINI BUKOBA
Ligi kuu ya Tanzania Bara imeendelea jana katika uwanja wa kaitaba Mjini Bukoba ambapo timu ya Yanga imeambulia kichapo cha bao 1-0 Kutoka kwa wakata miwa wa Kagera Sugar na kupoteza mchezo huo, Bao la Kagera Sugar lilipatikana dakika ya 40 kipindi cha pili cha mchezo, Bao hilo lilifungwa na mchezaji mahiri mzaliwa wa Kimbugu Muleba Temmy Alfonce
(Picha kwa hisani ya bukobawadau blog)



No comments:
Post a Comment