KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Tuesday 16 October 2012


Mc wa shughuli kamanda Prudence Kahatano akikaribisha wadau na kufungua mkutano
 
 Mgeni kutoka Tanzania Mh. Ezekiel Wenje akimwaga sera wakati wa mkutano wa CHADEMA UK uliyo fanyika jini London mwaishioni mwa mwaiki iliyopita.
 
Mgeni mwingine kutoka Tanzania kamanda Makelele katibu mwenezi CHADEMA Moshi akimwaga sera.
 
Katibu Mkuu wa Baraza la vijana CHADEMA (BAVICHA) akiongea machache
 
High Table
 
Makamanda wakifuatilia mkutano kwa makini
 
 Makamu Katibu Mwenezi wa CHADEMA UK Dr. John Lusingu akimwaga sera zake na kutoa hoja zake
 
Mkutano ukiendelea
 
Mmoja wapo wa Think Tanker na MC wa tukio wa CHADEMA UK akifuatilia mkutano
 
Mama Jessica Maduhu Mwenyekiti wa BAWACHA UK akifuatila mkutano
 
Dr Alex Paurine Mweka Hazina wa CHADEMA UK akimwaga sera
 
Wakina mama wakiufutailia mkutano kwa makini
 
Mkurugenzi wa  Computers for Africa Kamanda Asseri Kasanga akimwaga sera
 
Wadau wakifuatilia mkutano kwa makini
 

 
CHADEMA UK ilipata wanachama wapya na picha ni ni mwanachama mpya kipokea kadi yake. Mwanachama mpya wa CHADEMA UK akipeana mkono na Mh. Ezekiel Wenje
 
Mh. Wenje akimpa mkono mwanachama mpya na kumkaribisha kwenye chama
 
Kamanda Ndibalema akipokea kadi yake ya uanachama
 
Mwanachama mpya akifurahia kadi yake
 
Makumu Mwenyekiti wa CHADEMA UK Apostle Matthew akifunga mkutano huo kwa kuwashukuru wadau walio jitokeza na kuongea machache.
 
Makamanda wakiwa katika picha ya pamoja
Kwa picha zaidi tembelea http://www.jestina-george.com

No comments:

Post a Comment