KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Tuesday 16 October 2012


Rais Wa AfDB Aandaa Chakula Cha Jioni

 
 Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa akiwa na Waziri wa Fedha wa Uganda Bi. Maria Kiwanuka wakibadilishana mawazo katika chakula cha jioni kilichoandaliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB Jijini Tokyo – Japan.
 
 Donald Kaberuka  Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika akimsikiliza kwa makini waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa wakati wa chakula cha Jioni Jijini Tokyo – Japan
 
 Wajumbe wa Mkutano huo wakiwa katika chakula cha jioni, wa mwanzo kabisa ni Gavana wa Benki kuu Malawi akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha ya Malawi.
 
 Mhe. William Mgimwa Waziri wa Fedha akichangia mada juu ya jinsi gani waafrika wanaweza kujikomboa kwa kupitia Benki ya Maendelea ya Afrika katika hafla ya chakula cha jioni Jijini Tokyo- Japan
 
 

Waziri wa Fedha akiwa na rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Donald Kaberuka katika kikao cha faragha jijini Tokyo –Japan.

No comments:

Post a Comment