KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Monday 29 October 2012


Kujitoa Kwa Nyimbo Chadema

 
Ex-MP Nyimbo quits Chadema, party politics 

THE parliamentary candidate for Njombe West constituency on a Chadema ticket in the 2010 elections, Thomas Nyimbo, has said he has left the party, opting to remain an independent politician. 
Nyimbo announced the decision yesterday when speaking to journalists in Mbeya, adding that he reached the decision after realising that party politics did not target to support the majority Tanzanians but rather a few people within the political parties. 
"I have decided to resign from party politics. I have opted to become an independent politician who doesn’t belong to any party so that I can effectively contribute to the country’s development,” he noted. 
Nyimbo, who was accompanied by his wife, Mary Lukemel Mwenga, said he will not stop being a politician because he loves politics. 
He said it was his desire to vie for the Njombe West parliamentary seat in 2010 as an independent candidate. He called on wananchi to be careful with the politicians they elect because some of them just seek the posts for their personal gain. 
Nyimbo joined Chadema in August 2010 from CCM where he had served as an MP for Njombe West for 10 years.
SOURCE: THE GUARDIAN  

My take: Hili la Thomas Nyimbo lina hoja, siyo la kujitoa tu ndani ya Chadema, bali katika mambo mengi aliyoyaeleza. Tunapaswa kutafakari kwa kina, wala tusikurupuke kumpongeza ama kumlaumu. 
Nionavyo mimi, kuna mambo hayaendi sawa mahali fulani ndani ya Chadema na vyama vingine vya siasa, siyo CCM peke yake. 
Nyimbo ni mmoja wa wanasiasa wakongwe nchini ambaye amekuwa akiheshimika hata kwa wananchi wake aliokuwa akiwawakilisha kwa miaka 10 mfululizo bungeni, hivyo hawezi kukurupuka tu kutoa uamuzi kama huo ikiwa hana sababu za msingi.
Tumeyasikia mengi ndani ya chama hicho, mengine yakisemwa na waliokuwa na ambao wana nyadhifa za juu kwenye uongozi, lakini kila wakifunua vinywa wamekuwa wakinyamazishwa kwamba 'hawana sera kama wenye magamba'.
Chadema wanapaswa kufahamu kwamba; 'Wasihadaike na wingi wa njiwa ugani, siyo wa familia moja!' Hivyo, kukusanya umati wa watu mikutanoni siyo kigezo cha wao kupendwa na wananchi wote.
Tunataka mabadiliko, lakini yale yanayokuja kwa njia ya hadaa yataleta matatizo makubwa zaidi kwa taifa kuliko tunayoyaona.
Lazima tufike mahali tuseme ukweli kwa maslahi ya nchi yetu na siyo kuangalia vyama. Sera ya Taifa iwe msingi mkubwa. Haya ni maoni yangu, ukitaka kunikosoa unakaribishwa.
Mjumbe mwenzenu, Mbega Mnyama (0655-220404).

No comments:

Post a Comment