KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Tuesday 16 October 2012


Makamu Wa Rais Aomboleza Kifo Cha Kamanda Barlow

 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho na kuaga mwili wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, marehemu,  Liberatus Barlow, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Ukonga jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 16, kushiriki katika shughu za msiba huo na kutoa heshima za mwisho wakati wa shughuli ya  kuaga mwili wa marehemu huyo aliyeuawa hivi karibuni jijini Mwanza
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitia saini katika kitabu cha maombolezo  ya msiba wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Ukonga jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 16, kushiriki katika shughu za msiba huo na kutoa heshima za mwisho wakati wa shughuli ya  kuaga mwili wa marehemu huyo aliyeuawa hivi karibuni jijini Mwanza.
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimfariji mke wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Ukonga jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 16, kushiriki katika shughu za msiba huo na kutoa heshima za mwisho wakati wa shughuli ya  kuaga mwili wa marehemu huyo aliyeuawa hivi karibuni jijini Mwanza. 
 
Picha na OMR

No comments:

Post a Comment