TAIFA STARS YAKWEA PIPA TAYARI KWA MECHI YAO NA BOTSWANA
Nahodha wa timu ya Taifa, Taifa Stars Juma Kasseja
akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam kwa
ajili ya safari ya kwenda Gaborone, Botswana kucheza mechi ya kirafiki ya
kimataifa kesho Jumatano .
Wachezaji wa timu ya taifa, 'Taifa Stars' Mrisho Ngassa
na Haruna Moshi 'Boban' wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kwa ajili ya safari ya kwenda Gaborone,
Botswana kucheza mechi ya kirafiki ya kimataifa kesho
Jumatano.
Wachezaji wa timu ya Taifa,Taifa Stars wakiwasili
katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam,kwa ajili
ya safari ya kwenda Gaborone, Botswana kucheza mechi ya kirafiki ya kimataifa
kesho Jumatano.
No comments:
Post a Comment