Mkutano wa CHADEMA HOUSTON JANA.
Matukio ya CHADEMA-M4C Houston
Marriot Hotel Houston - Ulipofanyika mkutano wa CHADEMA |
Wadau wa Houston - John na Mbowe |
Mdau Abdulkarim na Katibu wa CDM Houston Nd.Mlay |
Wadau wa Houston |
Mdau wa Atlanta, Dada Linda ndani ya nyumba |
Wadau wa Houston na Atlanta |
Msafara wa Mh.Mbowe ukiingia Marriot |
Msafara wa Mh.Mbowe ukiingia Marriot |
Sehemu ya Wadau wa Houston wakisikiliza sera za Vua Gamba Vaa Gwanda |
Wadau Sekulu na Himid |
Dada Linda na Dada Asha wakionesha ubunifu wa mavazi yenye rangi ya bendera ya CDM |
Mdau Ngalawa akiwa na Mh.Mbowe |
Mh.Mbowe na wadau wa Houston |
Mh.Mbowe na wadau wa Houston na Atlanta |
Mh.Mbowe na mkereketwa wa CCM-Houston Nd.Ndejembi |
Mh.Mbowe na wazee wa M4C kutoka DMV |
No comments:
Post a Comment