Mufindi Community Bank - MuCoBa- Mwaliko Wa Mkutano
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Wananchi Mufindi (MuCoBa) ndugu Attilio Mohele, anayofuraha kukualika kwenye mkutano unaohusu
“Kuimarisha uchumi wa wilaya ya Mufindi na maeneo jirani kupiti a MuCoBa ikiwa ni pamoja na uwekezezaji kwa kununua hisa” utakaofanyika siku ya:
Jumapili tarehe 02 Septemba 2012,
katika ukumb iwa Holland, Msimbazi Center,
saa 9:30 jioni
Wotemnakaribishwa!
Kwa mawasiliano zaidi:
AttilioMohele, MwenyekitiwaBodi, MuCoBa - 0754 558824
Danny Mpogole, MenejaMkuu, MuCoBa - 0753 368343
Ben Mahenge, MenejawaFedha, MuCoBa - 0754 484234
DeogratiusModaha, MenejawaMikopo,MuCoBa – 0752 244662
*********************************
Benki ya Wananchi Mufindi (Mufindi Community Bank - MuCoBa)
TAKWIMU ZA MAENDELEO YA BENKI MWAKA 2008 HADI 2011
Na. Maelezo 2008 2009 2010 2011
1 IdadiyawawekajiwaAkiba/Number of Savers/Depositors 14,500, 159,95 1,910.0 23,500
2 JumlayaAkibazawateja /Total value of Deposits/Savings (Mil. Tshs) 2,960 3,656 4,963 6,000
3 IdadiyaWakopaji/Number of existing Borrowers 5,215 3,168 3,912 4,500
4 ThamaniyaMikopoiliyotolewa/Value of Disbursed Loans (Mil. Tshs) 2,619 3,985 5,856 7,445
5 ThamaniyaMikopoiliyopo/Value of Outstanding Loans (Mil. Tshs) 2,510 2,643 3,906 4,900
6 Jumla ya Rasilimali zabenki / Total Assets (Mil. Tshs) 4,296 4,844 6,771 7,708
7 Faida Kabla ya Kodi/Profit Before Tax (Mil. Tshs) 187 174 178 228
8 Mtaji uliolipiwa na Wanahisa /Paid Up Share Capital (Mil. Tshs) 201 284 367 443
9 Jumla ya Mtaji /Total Capital (Mil. Tshs 655 778 888 954
10 Jumla ya Gawio lililolipwa/Total Dividend paid (Mil. Tshs) 22 28 40 44
11 Sehemu ya Gawiokwa Hisa/Dividend Per Share* 40 55 55 50
NB: Beiya Hisa mojani TShs. 500/-
No comments:
Post a Comment