Mkutano Wa CHADEMA Jumamosi Aug 25 Jijini Houston Texas Nchini Marekani
Tunapenda kutoa habari hizi kwa waTanzania wote na wapenda maendeleo, Siku ya Jumamosi Aug 25 kutakuwa na ufunguzi rasmi wa tawi la chama cha demokrasia na maendeleo Wageni rasmi wa ufunguzi wa tawi hilo ni Mhe. Freeman Mbowe na Mhe. Jodeph Mbilinyi (Mr. 2/Sugu) Sherehe za ufunguzi wa tawi hilo zitaanza mida ya saa 5:PM (Jioni)
No comments:
Post a Comment