Watu wakipanda na kushuka katika daraja la Manzese. Watu wachache hulitumia daraja hilo huku baadhi wakisema hawalitumii kutokana na kuona tabu kulipanda na wengine wakisema usalama ni wa mashaka katika eneo hilo kutokana na kuripotiwa kuwepo kwa vitendo vya uhalifu. (picha: Yoel Mshana via Rundugai blog)
No comments:
Post a Comment