KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Tuesday, 28 August 2012


Picha: Mch. Dkt. Gertrude Lwakatare (Mb) katika kasri lake jipya!
Picha na taarifa via Rulea Sanga, RumaAfrica blog -- Mch. Mh. Getrude Pangalile Rwakatare siku ya Jumapili alikuwa anahamia rasmi katika nyumba yake mpya iliyoko Mbezi Beach jijini Dar es Salaam pembezoni mwa bahari ya Hindi. 


Kabla ya kuhamia kwenye hekalu lake jipya, alikuwa akiishi Mikocheni B katika nyumba ya kifahari pia. 



Waumini wa Kanisa hilo takribani 300 walifika mahali hapo kwa kushuhudia nyumba ya kifahari ambayo ndani yake kuna  ofisi yake ya nyumbani, sehemu ya kufanyia mikutano, Salon, Studio na sehemu ya mazoezi.


No comments:

Post a Comment