PICHA: Ufunguzi wa tawi la CCM DC wafunika bovu
MH. Abdulhaman Kinana akipiga makofi uku hakiingia ukumbuni hapo tayari kwa ufunguzi wa tawi la CCM, watu wengi walijitokeza katika ufunguzi huo na kujipatia kadi za chama chao tawala cha CCM.
Picha ya pamoja ya viongozi wote wa matawi mengine ya CCM kutoka sehemu tofauti za nje ya DC kama Minnesota kiongozi wake alikuwepo, North Carolina, New York na Taxas.
Meza kuu na ya viongozi wakiwa wametulia kabisa wakisikiriza lisara lilikuwa lina sumwa ukumbuni hapo
Loveness mwenyeketi wa tawi la CCM, DC akiongea maneno mawili matatu kabla ya kumkaribisha mgeni rasm katikia shughuri hizo za ufunguzi wa tawi la CCM hapa DC.
MH. Abdulahaman Kinana akiongea baada ya kukaribishwa na mwenyekiti wa tawi la CCM, DC Loveness. Kwa picha zaidi bofya ready more.
Picha kwa hisani ya Vijimambo Blog
No comments:
Post a Comment