Sensa Yaendelea Zanzibar
Karani wa Sensa Wilaya ya Kusini Unguja Zainab Maulid Haji akiendelea na kazi ya kuwaandika watu katika hali ya Usalama na Amani na kupata ushirikiano mkubwa kwa wananchi
Karani wa Sensa Wilaya ya Kusini Unguja Haji Ali Mjaka akiendelea na kazi ya kuwaandika watu katika hali ya Usalama na Amani na kupata ushirikiano mkubwa kwa wananchi
Karani wa Sensa Wilaya ya Kusini Unguja Haji Ali Mjaka akiendelea na kazi ya kuwaandika watu katika hali ya Usalama na Amani na kupata ushirikiano mkubwa kwa wananchi
-Karani wa Sensa Wilaya ya Kati Unguja Hassan Mussa Suleiman akiendelea na kazi ya kuwaandika watu katika hali ya Usalama na Amani na kupata ushirikiano mkubwa kwa wananchi.
PICHA ZOTE NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment